Hatua ya Marekani kuweka ushuru katika chuma cha pua na bati kutoka Canada, Umoja wa Ulaya na Mexico yazidi kukosolewa,// Vyama vya kizalendo vya Italia vimekubaliana kufufua mipango ya kuunda serikali.//Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limeipa Sudan Kusini mwezi mmoja kupasa suluhisho la kiasa la sivyo maafisa wake sita wawekewe vikwazo.