1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
13 Novemba 2018

https://p.dw.com/p/388HO

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka Israel na Kundi la Hamas kujizuia wakati mzozo wa umwagaji damu ukishamiri kati ya pande hizo. Viongozi wawili muhimu wa upinzani katika Jamhuri  ya Kidemokrasia ya Kongo wamejiondoa katika makubaliano ya kumweka mgombea mmoja wa upinzani. Makundi yanayohasiamiana nchini Libya yanakutana Sicily katika juhudi za kuiunganisha nchi hiyo iliyogawika.