Sweden yaifunga Marekani | Michezo | DW | 07.07.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Michezo

Sweden yaifunga Marekani

Sweden jana ilifanikiwa kuifunga Marekani mabao mawili kwa moja, lakini hata hivyo timu hizo zote mbili bado zinaendelea na mashindano, kutokana na kushika nafasi ya kwanza na ya pili katika kundi C.

default

Hekaheka golini

Marekani itapambana na Brazil katika awamu ya mtoano, siku ya Jumapili. Hapo jana Brazil iliweza kuifunga Guinea Ikweta mabao mawili kwa bila.

Flash-Galerie Frauen-Fußball-WM 2011 Schweden - USA

Wachezaji wa Sweden wakifurahia ushindi

Wakati huo huo Australia jana iliweza kuifunga Norway mabao mawili kwa bila, na kuweza kusonga mbele, ambapo itapambana na Sweden, siku ya Jumapili.

DW inapendekeza

 • Tarehe 07.07.2011
 • Mwandishi Halima Nyanza(ZPR)
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/11qdP
 • Tarehe 07.07.2011
 • Mwandishi Halima Nyanza(ZPR)
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/11qdP