Siku ya kimataifa ya kupambana na kutokujua kuandika na kusoma nchini Burundi | Masuala ya Jamii | DW | 12.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Siku ya kimataifa ya kupambana na kutokujua kuandika na kusoma nchini Burundi

Mwanzoni mwa wiki hii ulimwengu uliadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na kutojua kusoma na kuandika.

default

Wananchi wa Burundi

Kauli mbiu ya mwaka huu ni elimu ndio tiba mujarab.Kila mwaka Umoja wa mataifa hutenga tarehe nane mwezi wa tisa kama siku ya kupambana na tatizo hilo la msingi.Nchini Burundi takwimu zianeleza kuwa asilimia 40 pekee ya wakazi wa nchi hiyo wanaojua kusoma na kuandika.Hali hiyo inachagizwa na uwekezaji mdogo katika sekta hiyo japo mashirika yasiyokuwa ya kisertikali yanayopambana na tatizo hilo.

Zamu leo ni ya Amida Issa kutoka Bujumbura aleyeandaa taarifa ifuatayo.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com