Sikiliza Bundesliga live hapa | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 23.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Sikiliza Bundesliga live hapa

Kila Jumamosi DW inakuletea matangazo ya moja kwa moja ya mechi za Ligi ya Soka Ujerumani, Bundesliga. Usikose kujiunga nasi kuanzia saa 10:25 alasiri. Watangazaji waliobobea watakueleza yanayojiri viwanjani.

Sikiliza Bundesliga moja kwa moja hapa. Matangazo yanasikika tu wakati mechi inachezwa.

Viungo vya WWW

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com