Serikali ya DRC yapiga maarufuku kutajwa majina ya wanasiasa kwenye muziki | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.05.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Serikali ya DRC yapiga maarufuku kutajwa majina ya wanasiasa kwenye muziki

Serikali ya Kongo imepiga marufuku kutajwa kwa majina ya wanasiasa na viongozi wa makampuni ya umma kwenye nyimbo za wanamuziki.

Vilevile kurushwa kwa miziki ya aina hiyo katika vituo vya redio na televisheni nchini humo.Kulingana na serikali ya Kongo hatua hiyo ina azma ya kuimarisha utendaji kazi .

Taarifa kamili anazo mwandishi wetu saleh Mwanamilongo.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com