1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Scholz achukua usukani kutoka kwa Merkel kama kansela wa Ujerumani

8 Desemba 2021

Olaf Scholz amechukua madaraka leo kuwa kansela wa tisa wa Ujerumani baada ya kumalizika vita vikuu vya pili vya dunia, akichukua usukani kutoka kwa Angela Merkel baada ya uongozi wake wa miaka 16.

https://p.dw.com/p/43ztv