Rushwa nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Rushwa nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo

Dola bilioni moja na laki tau milioni zimeibiwa na viongozi wa serikali na mashirika ya umma nchini DRC. Mashirika ya forodha ,kodi na wizara ya fedha zimeshika mstari wa mbele katika ulaji rushwa nchini humo.

Mtaa wa Kinshasa.

Mtaa wa Kinshasa.

Taarifa hiyo imetolewa na tume ya uchunguzi ilioundwa na serikali ya DRC katika mpango wake wa kupambana na rushwa nchini humo.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com