NEW YORK:Ndege yaangukia katika nyumba ya mastakimu,wawili wafa | Habari za Ulimwengu | DW | 12.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK:Ndege yaangukia katika nyumba ya mastakimu,wawili wafa

Ngede ndogo ya mtu binafsi imeangukia katika jengo moja refu la mastakimu mjini New York na watu wawili wamekufa.

Ndege hiyo ilikuwa mali ya mcheza Baseball wa timu ya New York Yankees Cory Lidle aliekuwa rubani wakati ajali hiyo ilipotokea. Lidle pamoja na mtu mwingine walikufa katika ajali hiyo.

Idara za usalama za mjini New York zimesema , hakuna dalili za matendo ya kigaidi .

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com