Mission Berlin 20 – Muda baada ya Muda | Mission Berlin - Episoden | DW | 20.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Berlin - Episoden

Mission Berlin 20 – Muda baada ya Muda

Anna bado hajapata ufumbuzi wa kitendawili chake. Tukio gani la kihistoria RATAVA inataka kuzuia? Mchezaji anamwambia kurejea mwaka 2006 na kisha kurudi tena mwaka 1989. Je harakati hizo zina hatari kiasi gani?

Anna bado amechanganyikiwa

Mission Europe / Mission Berlin / Episode 20

Kabla ya Anna kurejea mwaka 2006, anataka kuagana vizuri na Paul. Ana muda wa dakika 35 kukamilisha jukumu lake na inambidi kuchunguza ajue tukio ambalo kundi la RATAVA linataka kusimamisha. Anna na mchezaji wanagundua kuwa kundi la RATAVA halizingatii ujenzi wa ukuta bali kuanguka kwake. Mchezaji anamwambia kwanza arudi mwaka 2006 kisha aende mwaka 1989 wakati ukuta ulipoanguka.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Vilivyopakuliwa