Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo
Matangazo
Matangazo

Mapambano dhidi ya mauaji ya albino

Nchini Tanzania mauaji ya watu walio na ulemavu wa ngozi au albino yameripotiwa kuzidi kuongezeka. Wanasiasa, wasanii na wanajamii sasa wanaungana kuelimisha kuhusu mila hii potofu na kuhakikisha kuwa watu hawa wanalindwa.

Kwekwe na Bimba walitamani mtoto

Sikiliza hadithi ya Khadija Ali, mwanahabari na mwandishi wa hadithi fupi kutoka Mombasa, Kenya.  

Katika kanda ya Afrika Mashariki

"Mwaniita mzungu..."

Kutoka Nairobi, Reuben Kyama anaangazia hali ya albino Kenya.  

Nini kinasababisha ulemavu wa ngozi?

Sikiliza makala ya afya iliyoandaliwa na Amina Abubakar.  

Utetezi wa albino nchini Tanzania

Matangazo