1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo
Matangazo
Matangazo

Redio

Matangazo ya Kiswahili - Kuanzia Machi 29, 2016
Jumatatu Jumanne Jumatano Alhamisi Ijumaa Jumamosi Jumapili
03:00 UTC

Habari za Ulimwengu

Podcast Artikel Nachrichten News

Taarifa ya habari juu ya matukio ya hivi karibuni duniani kote.

03:10 UTC

Mbiu ya Mnyonge

Podcast Artikel - Menschrechte

Makala inayoangazia wapi na vipi haki za binaadamu zinavunjwa barani Afika na ulimwenguni kwa ujumla na namna mashirika ya haki za binaadamu yanavyozipigania.

Dunia Yetu Leo Asubuhi

Visitenkarten Weltkarte

Uchambuzi wa taarifa za ulimwengu, mahojiano, na ripoti za waandishi wetu sambamba na maoni ya wasikilizaji na marafiki zetu kwenye kurasa za kjamii na simu.

Mazingira

Podcast Artikel - Umweltmagazin

Makala inayozungumzia ulinzi wa mazingira duniani, tabia nchi, matumizi ya madawa yanayochafua mazingira na yanayohusika nayo kwa lengo la kutoa elimu ya kuyalinda mazingira.

03:20 UTC

Makala Yetu Leo

Symbolbild Globalisierung

Makala inayoangazia masuala muhimu ya Afrika na hasa Afrika Mashariki na Kati, kama vile kilimo, fedha, uchumi na siasa, vita dhidi ya uhalifu, ufisadi ama ujenzi wa utawala bora.

Utamaduni na Sanaa

Bildergalerie Axum

Huangangazia kwa karibu utamaduni - kuanzia tamasha la Busara viswani Zanzibar hadi maonyesho ya Berlinale nchini Ujerumani.

03:30 UTC

Vijana Mchaka Mchaka

Gaza Leben

Wakati wa vijana kuonesha staili na fasheni zao, mambo mapya na mitindo ya maisha wanayoishi mitaani na vijiweni na namna zinavyomaanisha kwenye maisha yao ya ujana.

Kinagaubaga

Symbolbild Mikro Studiomikrofon

Mahojiano ya moja kwa moja ya kila wiki na masuali magumu kwa mmoja wa watu muhimu kuhusu jambo muhimu lililotokea katika mataifa ya Afrika ya Mashariki na Kati.

Afya

Podcast Artikel - Gesundheitsmagazin

Makala inayozungumzia aina mbalimbali za maradhi, njia za kujikinga na matibabu, usafi, na ushauri wa kuwa na afya bora.

Mwangaza wa Ulaya

Das Gebäude der EU-Kommission in Brüssel

Matukio muhimu ya barani Ulaya, mahusiano kati ya Ulaya na Afrika, namna Umoja wa Ulaya unavyoshughulikia masuala mbalimbali kama uhamiaji, na pia mtazamo wa maisha ya kila siku barani humo.

Afrika Wiki Hii

Weltkugel Globus Afrika

Uchambzi wa matukio yaliyojiri barani Afrika iwe kwenye masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi au kiutamaduni unaompa msikilizaji muhtasari wa namna bara hilo lilivyokuwa kwa juma nzima.

Afrika Magazetini

Podcast Artikel - Pressespiegel

Ripoti za magazeti ya Ujerumani zilizoaliangazia bara la Afrika kwa kipindi cha wiki moja, mada zilizopewa umuhimu na maoni ya wahariri wa Ujerumani kuhusu yanayojirini barani humo.

03:35 UTC

Sura ya Ujerumani

Podcast Artikel - Deutschland Magazin

Makala inayoonesha namna Wajerumani wanavyoishi, jinsi demokrasia yake inavyofanya kazi na taswira mbalimbali za kitamaduni, kisiasa na kiuchumi zinaoifanya Ujerumani kuwa Ujerumani.

03:40 UTC

Noa Bongo, Jenga Maisha Yako

master lbe afrika learning by ear

Kipindi murua kabisa cha kuwaelimisha vijana kupitia tungo za waandishi wa Kiafrika kuhusu mambo yanayowagusa vijana. Michezo yake huigizwa na wachezaji vijana nchini Tanzania.

Sema Uvume

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Vijana na mitandao ya kijamii, wanachokizungumzia, App mpya, usalama kwenye mitandao, hatari iliyomo, mafunzo kupitia ulimwengu wa mitandao na yote kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano.

Wanawake na Maendeleo

Changamoto wanazokabiliana nazo wanawake kwenye jamii, taswira za wanawake madhubuti ambao ni kigezo bora kwa wenzao na namna wanavyoziendeleza familia zao.

03:45 UTC

Umeipata hiyo

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Dondoo za masuala ya kushangaza na kufurahisha yanayotokea duniani, ambayo huleta ucheshi na pia mafunzo kwa jamii.

03:50 UTC

Jukwaa la Manufaa

Briefkästen in Europa

Kipindi kinachopaisha sauti ya msikilizaji moja kwa moja kuelezea yake ya moyoni na wahusika wengine, hasa viongozi wa kitaifa na kimataifa, wakisikie kutoka kwake.

Vijana Mubashara

DW The 77 Percent (Sendungslogo kiswahili)

Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara -77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW.

10:00 UTC

Habari za Ulimwengu

Podcast Artikel Nachrichten News

Taarifa ya habari juu ya matukio ya hivi karibuni duniani kote.

10:10 UTC

Dunia Yetu Leo Mchana

Visitenkarten Weltkarte

Uchambuzi wa taarifa za ulimwengu, mahojiano, na ripoti za waandishi wetu sambamba na maoni ya wasikilizaji na marafiki zetu kwenye kurasa za kjamii na simu.

Maoni

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Mjadala unaowashirikisha wataalamu, wachambuzi, wanasiasa, wakijalidili masuala ya kimataifa na kikanda, kujenga uwelewa wa wasikilizaji juu ya masuala yanayogusa maisha yao katika nyanja zote.

Afrika Wiki Hii

Weltkugel Globus Afrika

Uchambzi wa matukio yaliyojiri barani Afrika iwe kwenye masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi au kiutamaduni unaompa msikilizaji muhtasari wa namna bara hilo lilivyokuwa kwa juma nzima.

10:30 UTC

Afya

Podcast Artikel - Gesundheitsmagazin

Makala inayozungumzia aina mbalimbali za maradhi, njia za kujikinga na matibabu, usafi, na ushauri wa kuwa na afya bora.

Kinagaubaga

Symbolbild Mikro Studiomikrofon

Mahojiano ya moja kwa moja ya kila wiki na masuali magumu kwa mmoja wa watu muhimu kuhusu jambo muhimu lililotokea katika mataifa ya Afrika ya Mashariki na Kati.

Sema Uvume

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Vijana na mitandao ya kijamii, wanachokizungumzia, App mpya, usalama kwenye mitandao, hatari iliyomo, mafunzo kupitia ulimwengu wa mitandao na yote kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano.

Mbiu ya Mnyonge

Podcast Artikel - Menschrechte

Makala inayoangazia wapi na vipi haki za binaadamu zinavunjwa barani Afika na ulimwenguni kwa ujumla na namna mashirika ya haki za binaadamu yanavyozipigania.

Wanawake na Maendeleo

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Changamoto wanazokabiliana nazo wanawake kwenye jamii, taswira za wanawake madhubuti ambao ni kigezo bora kwa wenzao na namna wanavyoziendeleza familia zao.

Afrika Magazetini

Podcast Artikel - Pressespiegel

Ripoti za magazeti ya Ujerumani zilizoaliangazia bara la Afrika kwa kipindi cha wiki moja, mada zilizopewa umuhimu na maoni ya wahariri wa Ujerumani kuhusu yanayojirini barani humo.

10:35 UTC

Salamu

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Muda wa kusalimiana, kutakiana kheri na kufurahi pamoja kupitia salamu na muziki.

10:40 UTC

Jukwaa la Manufaa

Briefkästen in Europa

Kipindi kinachopaisha sauti ya msikilizaji moja kwa moja kuelezea yake ya moyoni na wahusika wengine, hasa viongozi wa kitaifa na kimataifa, wakisikie kutoka kwake.

Makala Yetu Leo

Symbolbild Globalisierung

Makala inayoangazia masuala muhimu ya Afrika na hasa Afrika Mashariki na Kati, kama vile kilimo, fedha, uchumi na siasa, vita dhidi ya uhalifu, ufisadi ama ujenzi wa utawala bora.

Vijana Mchaka Mchaka

Gaza Leben

Wakati wa vijana kuonesha staili na fasheni zao, mambo mapya na mitindo ya maisha wanayoishi mitaani na vijiweni na namna zinavyomaanisha kwenye maisha yao ya ujana.

Vijana Mubashara

DW The 77 Percent (Sendungslogo kiswahili)

Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara -77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW.

10:50 UTC

Habari za Afrika

Visitenkarten Weltkarte

Taarifa ya habari juu ya matukio ya hivi karibuni kote barani Afrika.

Noa Bongo, Jenga Maisha Yako

master lbe afrika learning by ear

Kipindi murua kabisa cha kuwaelimisha vijana kupitia tungo za waandishi wa Kiafrika kuhusu mambo yanayowagusa vijana. Michezo yake huigizwa na wachezaji vijana nchini Tanzania.

10:55 UTC

Maoni ya Wasikilizaji

Podcast Artikel - Hoererforum

Wasikilzaji na wafuasi wetu mitandao ya kijamii wanatoa maoni yao kuhusu mada mbalimbali zinazozingatiwa katika matangazo yetu na pia kwenye kurasa za mitando ya kijamii.

Umeipata hiyo

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Dondoo za masuala ya kushangaza na kufurahisha yanayotokea duniani, ambayo huleta ucheshi na pia mafunzo kwa jamii.

15:00 UTC

Habari za Ulimwengu

Podcast Artikel Nachrichten News

Taarifa ya habari juu ya matukio ya hivi karibuni duniani kote.

15:10 UTC

Dunia Yetu Leo Jioni

Visitenkarten Weltkarte

Uchambuzi wa taarifa za ulimwengu, mahojiano, na ripoti za waandishi wetu sambamba na maoni ya wasikilizaji na marafiki zetu kwenye kurasa za kjamii na simu.

Vijana Tugutuke

Podcast Artikel – Bengalisches Jugendmagazin

Kila wiki, vijana hujadiliana na waandishi wetu kote Afrika Mashariki juu ya masuala yanayotokea sasa.

Maoni

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Mjadala unaowashirikisha wataalamu, wachambuzi, wanasiasa, wakijalidili masuala ya kimataifa na kikanda, kujenga uwelewa wa wasikilizaji juu ya masuala yanayogusa maisha yao katika nyanja zote.

15:20 UTC

Vijana Mchaka Mchaka

Gaza Leben

Wakati wa vijana kuonesha staili na fasheni zao, mambo mapya na mitindo ya maisha wanayoishi mitaani na vijiweni na namna zinavyomaanisha kwenye maisha yao ya ujana.

15:30 UTC

Michezo

Symbolbild Fußball Tor Netz

Yanayojiri katika nyanja ya michezo, kuanzia ligi za soka Afrika Mashariki na Kati hadi makombe ya Ulaya, Asia, Marekani na duniani, mpira wa kikapu, riadha, mashindano ya mbio za magari, tennis na kriketi.

Mbiu ya Mnyonge

Podcast Artikel - Menschrechte

Makala inayoangazia wapi na vipi haki za binaadamu zinavunjwa barani Afika na ulimwenguni kwa ujumla na namna mashirika ya haki za binaadamu yanavyozipigania.

Mwangaza wa Ulaya

Das Gebäude der EU-Kommission in Brüssel

Matukio muhimu ya barani Ulaya, mahusiano kati ya Ulaya na Afrika, namna Umoja wa Ulaya unavyoshughulikia masuala mbalimbali kama uhamiaji, na pia mtazamo wa maisha ya kila siku barani humo.

Wanawake na Maendeleo

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Changamoto wanazokabiliana nazo wanawake kwenye jamii, taswira za wanawake madhubuti ambao ni kigezo bora kwa wenzao na namna wanavyoziendeleza familia zao.

Mazingira

Podcast Artikel - Umweltmagazin

Makala inayozungumzia ulinzi wa mazingira duniani, tabia nchi, matumizi ya madawa yanayochafua mazingira na yanayohusika nayo kwa lengo la kutoa elimu ya kuyalinda mazingira.

Karibuni

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Wasaa wa burudani pamoja na wageni wetu wa kila wiki, uchambuzi wa lugha kupitia Kiswahili Kina Wenyewe, ushairi na hadithi fupi kumfanya msikilizaji apate ladha nyengine nje ya habari.

15:40 UTC

Vijana Tugutuke

Podcast Artikel – Bengalisches Jugendmagazin

Kila wiki, vijana hujadiliana na waandishi wetu kote Afrika Mashariki juu ya masuala yanayotokea sasa.

Sema Uvume

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Vijana na mitandao ya kijamii, wanachokizungumzia, App mpya, usalama kwenye mitandao, hatari iliyomo, mafunzo kupitia ulimwengu wa mitandao na yote kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano.

Vijana Mubashara

DW The 77 Percent (Sendungslogo kiswahili)

Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara -77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW.

Afya

Podcast Artikel - Gesundheitsmagazin

Makala inayozungumzia aina mbalimbali za maradhi, njia za kujikinga na matibabu, usafi, na ushauri wa kuwa na afya bora.

Kinagaubaga

Symbolbild Mikro Studiomikrofon

Mahojiano ya moja kwa moja ya kila wiki na masuali magumu kwa mmoja wa watu muhimu kuhusu jambo muhimu lililotokea katika mataifa ya Afrika ya Mashariki na Kati.

15:50 UTC

Habari za Afrika

Visitenkarten Weltkarte

Taarifa ya habari juu ya matukio ya hivi karibuni kote barani Afrika.

Noa Bongo, Jenga Maisha Yako

master lbe afrika learning by ear

Kipindi murua kabisa cha kuwaelimisha vijana kupitia tungo za waandishi wa Kiafrika kuhusu mambo yanayowagusa vijana. Michezo yake huigizwa na wachezaji vijana nchini Tanzania.

15:55 UTC

Ratiba ya Vipindi Vijavyo na Muziki

Radio Default -1024x576 - Program Guide - 07.2016

Huu ni muongozo wa mtiririko wa vipindi vya matangazo ya Kiswahili.