1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mikakati ya CDU na CSU kujijenga upya baada ya kushindwa

Harrison Mwilima13 Oktoba 2021

Katika Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii tunaangazia muungano wa kihafidhina nchini Ujerumani CDU na CSU na jinsi unavyoweka mikakati ya kujikwamua na kujijenga upya baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi uliopita mwezi Septemba.

https://p.dw.com/p/41buM