Matatizo yanayoikumba Idara ya Magereza nchini Kenya
24 Julai 2008
Nchini Kenya bunge la nchi hiyo linatarajiwa kujadili mapendekezo yaliyotolewa na kamati ya serikali kuhusu kashfa na matatizo mbalimbali yanayokumba idara ya magereza.
https://p.dw.com/p/Ej6K
Matangazo
Mapendekezo hayo yalitolewa ikiwa ni miezi mitatu tangu mgomo wa maaskari magereza kufanyika.Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa maaskari hao kugoma katika historia ya nchi hiyo.