Watu 11 wafariki katika tetemeko la ardhi huko Haiti. Waziri Mkuu wa Israel benjamin Netanyahu na Rais wa Urusi Vladimir Putin kukutana kujadili kuangushwa kwa ndege ya Urusi nchini Syria. Wakameroon wapiga kura leo huku upande unaotaka kujitenga ukitishia kufanya ghasia.