China na Marekani zakubali kusitisha mgogoro wa kibiashara kwa siku 90. Kansela wa jerumani Angela Merkel amtaka rais wa Urusi Vladimir Putin kuwaachilia huru mabaharia wa Ukraine. Na Ufaransa yatafakari kutangaza hali ya dharura kufuatia maandamano ya wiki mbili yanayoendeleanchini humo.