1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mike Pompeo

Michael Richard Pompeo, ni mwanasiasa wa Marekani na mwanasheria, ambaye tangu Aprili 2018, amehudumu kama waziri wa 70 ya mambo ya nje wa Marekani. Ni afisa wa zamani wa jeshi la Marekani na alikuwa Mkurugenzi wa CIA.

Pompeo alikuwa mjumbe wa Baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kuanzia 2011 - 2017, akiwakilisha wilaya ya nne ya bunge ya Kansas. Alikuwa mwakilishi wa Kansas kwenye kamati ya taifa ya chama cha Republican na mjumbe wa ujumbe wa bunge la Marekani na Italia. Pompeo pia ni mwanachana wa vuguvugu la "Tea Party" ndani ya chama cha Republican. Ukurasa huu ni musanyiko wa maudhui za DW kuhusu Mike Pompeo.

Onesha makala zaidi