1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya machana ya DW Kiswahili: 20.09.2020

20 Septemba 2020

Iran yatoa wito kwa ulimwengu mzima kuungana dhidi ya kile inachosema ni "vitendo vya ovyo'' vya Marekani, wapinzani wa Rais Alexander Lukashenko wa Belarus watoa wito wa maandamano mapya kote nchini humo hii leo na viongozi wa maandamano ya wanafunzi nchini Thailand wawasilisha barua kwa mwakilishi wa ikulu wakitaka marekebisho

https://p.dw.com/p/3ikaU