1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 5.06.2021

5 Juni 2021

Spika wa bunge la Israeli kuwaarifu rasmi wabunge kuhusu tangazo la muungano wa upinzani, watu wenye silaha wawauwa kiasi cha raia 100 katika kijiji kimoja kaskazini mwa Burkina faso na maseneta watatu wa Marekani kufanya ziara nchini Taiwan kesho Jumapili

https://p.dw.com/p/3uTWm