Matangazo ya Jioni - 22.09.2019 | Media Center | DW | 22.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni - 22.09.2019

Rais Donald Trump wa Marekani ametetea mazungumzo yake kwa njia ya simu na rais wa Ukraine. Polisi ya Hong Kong imetumia nguvu kudhibiti maandamano ya umma yaliyogeuka vurugu. Iran imeridhia wanawake kuhudhuria uwanjani mechi ya kufuzu kombe la dunia.

Sikiliza sauti 59:59