1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 15.12.2018

Yusra Buwayhid
15 Desemba 2018

Maandamano ya vizibao vya manjano yaemdelea nchini Ufaransa. Raia wa Yemen wana hofu ya kuvunjika kwa makubaliano ya kusitisha mapigano nchini humo baada ya vita vya miaka minne. Na serikali ya Tanzania yasema haitokubali ushoga licha ya wafadhili kusitisha misaada.

https://p.dw.com/p/3ABnV