1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 09.02.2019

Grace Kabogo
9 Februari 2019

Misri kuanzia kesho Jumapili itakabidhiwa uwenyekiti wa Umoja wa Afrika kwa mwaka 2019//Athari ya itikadi kali za Kiislamu zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati hadi leo//Marekani imesema inasitisha baadhi ya misaada ya kijeshi kwa Cameroon kutokana na uvunjifu wa haki za binaadamu

https://p.dw.com/p/3D2iC