You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani imetuma ndege kuwahamisha raia wake walioko Wuhan
Uingereza nayo imethibitisha kuwa wagonjwa wawili nchini humo wameambukizwa virusi vya corona
China: Watu zaidi ya 4500 waambukizwa virusi vya Corona
Wanafunzi kutoka nchi za kigeni na hasa bara la Afrika wanasomea katika mji wa Wuhan.
Miaka 75 tangu kambi ya Auschwitz ilipokombolewa
Watu hao wametoa mwito wa kuhakikisha kwamba maafa kama hayo hayatokei tena duniani.
Dunia yakumbuka miaka 75 kukombolewa kambi ya Auschwitz
Hata hivyo, dunia inakumbushwa kuwa dhuluma dhidi ya jamii za wengine yanaendelea sasa huku ulimwengu ukikaa kimya.
Viongozi wakemea kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi
Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence amewataka viongozi duniani kuhakikisha mauaji mengine ya Wayahudi hayajirudii.
Viongozi wa dunia wakumbuka mauaji ya Wayahudi
Viongozi mbalimbali duniani kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 75 tangu kambi ya mauaji ya Auschwitz ilipokombolewa.
Ujerumani na Ufaransa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Ujerumani na Ufaransa zimetangaza kuungana na kampuni kubwa ya uwekezaji ya BlackaRock katika juhudi za kuongeza kasi ku
Maoni: Matumaini yatokanayo na diplomasia kuhusu Libya
Ujerumani yaleta matumaini ya kufikishwa mwisho makabiliano ya kivita nchini Libya
Ujerumani yaandaa mkutano wa kilele kutafuta amani ya Libya
Mkutano huo umeandaliwa na kansela wa Ujerumani Angela Merkel kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa.
Kesi ya kumshtaki Trump yaanza Baraza la Seneti
Ni marais watatu tu wa Marekani kuwahi kufunguliwa mashtaka ya kuondolewa madarakani.
Ukraine yatoa wito wa usaidizi kwa kansela wa Ujerumani
Rouhani atoa Onyo kwa Umoja wa Ulaya
Ujerumani kuwa mwenyeji wa mkutano wa kuijadili Libya
Uturuki na Italia zahimiza makubaliano ya kudumu ya kusitisha mapigano Libya
Maoni: Merkel na Putin - Si marafiki lakini ni washirika
Merkel na Putin si marafiki bali ni washirika , na Ulaya inaihitaji Urusi
Marekani yaionya Iran dhidi ya kuwashambulia raia wake
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Iran dhidi ya kuwauwa raia wake wanaoandamana kuipinga serikali.
Ujerumani Chama cha Kijani chaadhimisha miaka 40
Lakini katika historia yao ya miaka 40 watu hao wameleta mabadiliko nchini Ujerumani na wamepata mafanikio
Ujerumani yataka kuitulizanisha Iran
Trump asema Iran ikilipiza kisasi itashambuliwa kwenye vituo 52 muhimu kwa haraka na kwa nguvu.
Merkel ajitolea kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Kansela Merkel ameahidi kuwa jitihada zote za kibinaadamu zitatumika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Steimeier awataka Wajerumani kuilinda demokrasia
Kwenye hotuba ya mwaka jana, Rais Steinmeier aliwaomba Wajerumani kuangalia zaidi yale yanaowaunganisha.
Ujerumani yaishutumu Marekani kwa vikwazo vya mradi wa gesi
Ujerumani na Umoja wa Ulaya zaishutumu Marekani kwa kuweka vikwazo dhidi ya mradi wa gesi kutoka Urusi
Wagombea wa Democratic wachuana kwenye mdahalo mwingine
Wanasiasa wanaowania kuteuliwa kugombea urais kupitia chama cha Democratic washiriki mdahalo.
Marais wa Urusi na Ukraine kukutana Paris
Kabla mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika mkutano wa kilele wa unaolinganishwa na ule "uliofanyika".
Mkutano mkuu wa SPD wafunguliwa Berlin
Mkutano mkuu wa SPD wafunguliwa Berlin
Maelfu ya waomba hifadhi waandika maombi zaidi ya mara mbili
Watu milioni 1.78 waliomba hifadhi ya ukimbizi Ujerumani mwaka 2010 hadi 2018 kwa mujibu ya ofisi ya data za serikali
SPD yawachagua Norbert Walter-Borjans na Saskia Esken
Chama cha SPD kimewachagua wafuasi wawili wa siasa za mrengo wa kushoto kukiongoza chama hicho
Maelfu waandamana kuhusu mabadiliko ya tabia nchi
Wanafunzi na wanaharakati wa mabadiliko ya tabia nchi waandamana ulimwenguni
Malumbano yazuka, bunge la Ujerumani
Atetea umuhimu wa kuendelezwa serikali kuu ya muungano hadi muhula wake utakapokwisha na uchaguzi mkuu kuitishwa 2021.
Ujerumani kuwarejesha wanawake wa IS kutoka Syria
Wanawake waliojiunga na kundi linalojiita "Dola la Kiislamu", raia wa Ujerumani kurejeshwa nyumbani
Ujerumani yawatuliza raia wake baada ya IS kurejea nchini
Raia wa Ujerumani watakaorejea "sio kitisho"
Mchakato wa uchunguzi dhidi ya Trump wafanyika hadharani
Chama cha Republican kinakishutumu chama cha Democratic kumuandama Trump
Iran huenda ikawekewa tena vikwazo vya kimataifa
Baadhi ya wanadiplomasia wanaonya huu unaweza kuwa mwisho wa makubaliano hayo.
Ujerumani yaadhimisha miaka 30 ya kuanguka Ukuta wa Berlin
Kansela wa Ujurumani Angela Merkel ameapa katika hafla ya kumbukumbu kuwa "hakuna ukuta utakaowatenganisha watu tena."
Ni siku ya kuporomoshwa Ukuta wa Berlin
Ni siku ya kuporomoshwa Ukuta wa Berlin
Ukuta wa Berlin uliporomoka pia barani Afrika
Ujerumani Mashariki ilifadhili pia vikundi vya kupigania ukombozi katika mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika.
Marienborn: Kumbukumbu ya historia ya Ujerumani iliyogawika
Marienborn: Kumbuku ya historia ya Ujerumani iliyogawika
Misimamo ya Wajerumani inatofautiana
Je, kwa nini misimamo ya Wajerumani wa Magharibi na wa Mashariki bado inatofautiana?
Msumbiji: Ukuta wa Berlin ulipoanguka
Ukuta wa Berlin ulipoanguka ulikuwa na athari hata kwa wageni nchini Ujerumani.
Marienborn: Kituo kikubwa kabisa cha ukaguzi
Kwa takribani miaka 40, Ujerumani iligawanywa kwa ukuta ambao uliwazuia Wajerumani wa Magharibi kujumuika na wenzao wa Mashariki.Katika kipindi hicho zaidi ya watu 100,000 walifanya jaribio la kuutoroka upande huo na 5,000 walifanikiwa kwa kuuparamia ukuta uliozigawa pande hizo.
Bunge la Marekani lafungua njia kwa Trump kuchunguzwa
Hatua ya Bunge la Marekani kuidhinisha uchunguzi wa kumuondoa Trump haikuzingatia haki na ni kinyume na katiba.
Putin anaulaumu uongozi wa Sovieti kwa ujinga
Putin anaulaumu uongozi wa kisovieti kwa ujinga uliofungua njia ya kutanuliwa NATO kuelekea Mashariki
Je, hatua ya kuungana Ujerumani ilichukuliwa mapema?
Wengi wanahisi hatua hii imefanyika mapema mno na sababumomojawapo ni kwamba Ujerumani Magharibi ndiyo inayotawala
Mamilioni ya Wajerumani Mashariki wahamia Magharibi
Umasikini,kutoridhishwa na hali ya kisiasa ni miongoni mwa sababu zilizowahamisha watu Mashariki na kuingia Magharibi
Chama cha Die Linke chashinda Thuringia
Chama cha kijani Die Linke kimeibuka mshindi ucahguzi wa jimbo la Ujerumani la Thuringia.
Mtihani kwa chama cha AfD uchaguzi jimbo la Thuringia
Uchaguzi wa jimbo la Thuringia mashariki mwa Ujerumani mtihani kwa chama cha AfD
NATO yakosoa hatua za Uturuki Syria, lakini hakuna adhabu
Operesheni ya Uturuki nchini Syria inatazamiwa kuibua mjadala mkubwa kwenye mkutano wa NATO
Ujerumani yaitisha ukanda wa usalama Syria
Katika mahojiano na DW, Annegret Kramp-Karenbauer amesema kuwa mpango huo uliratibiwa na Kansela Angela Merkel
Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha yoyote nchini Uturuki
Suluhisho la Brexit bado kizungumkuti
Ujerumani kusitisha kuidhinisha mauzo ya silaha kwa Uturuki
Ujerumani kutoidhinisha mauzo mapya ya silaha kwa Uturuki
Kipindi cha Karibuni pia kinakupa burudani kemkem
Watangazaji maahiri wa DW kutoka idhaa mbali mbali za kiafrika wamekita kambi katika miji mbali mbali ya mipakani huko Mashariki mwa Ujerumani kutujuza mengi kuhusu maisha na kumbukumbu za watu wa huko kabla na baada ya ukuta wa Berlin kuangushwa. Kipindi cha Karibuni pia kinakupa burudani kemkem.
Miaka 70 tangu Ujerumani ilipogawika
Ujerumani ilikuwa imegawika sehemu mbili kati ya mwaka 1945 hadi 1990. Hali hiyo mtu anaweza kuitambua mpaka sasa, miaka 30 baada ya mapinduzi ya amani katika eneo la kikoministi la mashariki. Na hakuna dalili kama hali hiyo itabadilika haraka. Kuyasikia yote hayo baki na Oummilkheir.
Maoni: Hatari kubwa kwa Wayahudi nchini Ujerumani
Baada ya shambulizi dhidi ya Wayahudi mjini Halle, umuhimu wa kuzilinda taasisi za kiyahudi ni dhahiri
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 29 wa 54
Ukurasa unaofuatia