1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msumbiji: Ukuta wa Berlin ulipoanguka

Yusra Buwayhid
6 Novemba 2019

Ukuta wa Berlin ulipoanguka mwaka 1989, wafanyakazi 20,000 wa Msumbiji waliokuwa waliokuwa wameajiriwa upande wa Ujerumani ya Mashariki ya Kikomunisti (GDR) walilazimika kurudi nyumbani. Hadi leo miaka 30 baadae bado wanadai malipo waliyoahidiwa.

https://p.dw.com/p/3SdWL