Makaburi yaliozikwa watu wengi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo yagunduliwa14.09.200714 Septemba 2007Makaburi ya Jumuiya yamegunduliwa Mashariki mwa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo.https://p.dw.com/p/CH8CMatangazoWakati huo huo mapigano mapya yamezuka leo katika eneo hilo. Mwandishi wetu John Kanyunyu anaripoti kutoka Goma.