Majimbo 5 ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo yakabiliwa na utapiamlo | Masuala ya Jamii | DW | 15.12.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Majimbo 5 ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo yakabiliwa na utapiamlo

Tatizo hilo limesababishwa na sera mbaya za kilimo

default

Mtoto wa Kiafrika anayekabiliwa na utapiamlo

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limeelezea kwamba majimbo matano kati ya kumi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yamekumbwa na utapia mlo. Sababu ni kwamba kuna siasa mbovu ya kilimo na chakula kwenye maeneo hayo. Taarifa hiyo imetolewa kufuatia ripoti ya mwaka ya shirika la WFP kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na inaelezea kwamba hali ya ukosefu wa chakula katika maeneo mengine nchini humo inatia wasi wasi mkubwa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com