Mahakama ya uhalifu ya ICTR mjini Arusha,Tanzania, imewahamisha wafungwa tisa nchini Mali | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mahakama ya uhalifu ya ICTR mjini Arusha,Tanzania, imewahamisha wafungwa tisa nchini Mali

Nchini Tanzania mahakama ya uhalifu kwa ajili ya Rwanda ICTR iliyoko mjini Arusha imewahamishia nchini Mali wafungwa tisa ili kutumikia vifungo vyao.

Mtaa mojawapo wa Arusha kwenye mahakama ya uhalifu ICTR

Mtaa mojawapo wa Arusha kwenye mahakama ya uhalifu ICTR

Hatua hii ilifanyika kwa mara ya mwisho mwaka 2001.Kulingana na sheria ya 26 ya mahakama hiyo ya ICTR wafungwa hao kamwe hawawezi kutumikia vifungo vyao nchini Tanzania ila wanaweza kurejeshwa nchini mwao Rwanda au nchi nyengine iliyotia saini makubaliano na ICTR.Ifahamike kuwa hakuna hata mshtakiwa mmoja aliyewahi kutumikia kifungo chake Rwanda.

Kutoka Arusha Nicodemus Ikonko ana maelezo kamili.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com