1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maendeleo ya Soka la Wanawake Tanzania

5 Januari 2022

Soka la wanawake ni mchezo unaokuwa kwa kasi zaidi Tanzania. Utamaduni wa wanawake kucheza mpira wa miguu umeanza kueleweka kwa wengine, ingawa bado kuna kundi kubwa halijaelewa. Angalia vidio fupi iliyoandaliwa na Anuary Mkama ikiangazia maisha ya mwanamke wakati anacheza mpira wa miguu na baada ya kustaafu.

https://p.dw.com/p/45ANa