Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amaliza ziara yake Marekani. Aacha gumzo kubwa baada ya hotuba yake iliyomkosoa pakubwa Donald Trump. Zaidi tizama video hii. Papo kwa Papo: 26.04.2018.
Tuma Facebook Twitter google+ Whatsapp Tumblr Digg Newsvine
Kiungo https://p.dw.com/p/2wjbo
Waziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Heiko Maas ametoa wito wa kutafuta suluhisho kunakohusisha pande tofauti tofauti na kumshutumu Rais wa Marekani Donald Trump kwa kujichukulia maamuzi bila ya kushirikisha wengine.
Ikulu ya Marekani imesema Rais Donald Trump atatoa wito wa matumaini na Umoja atakapotoa hotuba yake ya hali ya taifa akitumia nafasi hiyo kubadilisha hali baada ya miaka miwili ya mivutano na mataifa mengine.
Maelfu ya Wairan wamemiminika katika miji mbali mbali kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 40 tangu mapinduzi ya Kiislamu yaliyouondowa utawala wa Shah Mohammed Reza uliokuwa ukiungwa mkono na Marekani.
Mkutano wa kimataifa juu ya Mashariki ya Kati ulioandaliwa na Poland na Marekani umefunguliwa huku kukiweko hali ya mashaka kuhusu malengo ya mkutano huo,yakijitokeza masuli juu ya kitakachotokana na mkutano.