Kura ya Maoni Visiwani Komoro
18 Mei 2009Matangazo
Kurekebishwa kwa sheria hiyo kunatokana na serikali ya muungano chini ya rais wake, Ahmed Abdallah Sambi, kuondoa ule mfumo uliopo hivi sasa wa kuwepo kwa marais watatu wa visiwa vya Ngazija, Nzuwani na Mwali na kuwa na bunge lao na hata mabaraza ya mawaziri wa visiwa hivyo. Mwandishi wetu Abdulrahman Baramia anaripoti kutoka Moroni.
Mwandishi: Abdulrahman Baramia
Mhariri: Josephat Charo