Kufungwa kwa makanisa na vilabu vya pombe mjini Kinshasa,DRC | Masuala ya Jamii | DW | 19.02.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kufungwa kwa makanisa na vilabu vya pombe mjini Kinshasa,DRC

Makanisa manane pamoja na vilabu vya kuuza pombe kadhaa vimefungwa mjini Kinshasa (DRC) kwa kuhusika na kelele za usiku na mchana.

Jiji la Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Jiji la Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Hatua hiyo iliyochukuliwa na serikali imelalamikiwa na wafuasi wengi wa makanisa hayo ambao wamehisi kwamba viongozi walitakiwa kupiga marufuku kelele na sio kufunga makanisa. Kumejitokeza jijini Kinshasa miaka ya hivi karibuni mfumuko wa makanisa ya kujitegemea ambayo yanajiita makanisa ya muamko ama " wake up churches." Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Mtayarishi: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji

INSERT

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com