1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani - Utwaaji wa ardhi

14 Desemba 2023

DW Kiswahili inakuletea mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika. Katika sehemu ya kwanza ya simulizi hiyo tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´ Bruce Amani anakueleza ni vipi mataifa ya Ulaya ikiwemo Ujerumani yalifanikiwa kunyakua ardhi kuwa barani Afrika na kufungua milango ya kuanza kwa ukoloni.

https://p.dw.com/p/4aAGV