1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitisho cha jangwa kusini mwa Uhispania

8 Septemba 2021

kulima zao moja shambani kwa muda mrefu huharibu udongo. Mchanganyiko wa mabadiliko ya tabianchi na mbinu za kilimo zisizo endelevu, unatishia kuongeza kasi ya kuenea kwa jangwa kusini mwa Uhispania. Kudhibiti kitisho hicho kutategemea mabadiliko ya tabia ya wakulima wa Uhispania na ya Walaji. Sikiliza makala ya Mwangaza wa Ulaya iliyoandaliwa na Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/404Hn