KANDAHAR: Bomu lauwa watu 6 kusini mwa Afghanistan | Habari za Ulimwengu | DW | 13.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KANDAHAR: Bomu lauwa watu 6 kusini mwa Afghanistan

Watu 6 wameuawa katika mripuko wa gari lililokuwa na bomu katika mkoa wa kusini wa Kandahar nchini Afghanistani. Watu wengine watano wamejeruhiwa. Lengo dhamira la shambulio hilo lilikuwa msafara wa magari ya majeshi ya kigeni yalioko katika nchi hiyo. Watu 200 wameshauawa mwaka huu katika miripuko ya mabomu katika maeneo ya kusini na mashariki tu ya nchi hiyo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com