KABUL:Afghanistan yaadhimisha miaka 88 ya uhuru
20 Agosti 2007Matangazo
Sherehe zimefanyika mjini Kabul kuadhimisha mwaka wa 88 tokea Afghanistan ipate uhuru wake kutoka Uingereza.Akizungumza katika maadhimisho hayo rais Hamid Karzai alitoa mwito kwa vijana wa nchi hiyo,juu ya kujipatia elimu ili waweze kulinda uhuru wao.