Marekani na Israel zinatumia nguvu kubwa ya kijeshi dhidi ya Iran na hadi kufikia sasa uhabirifu mkubwa umeshuhudiwa. Maswali mengi yameibuka kuhusu vita hivi ikiwa kweli kuna tija yoyote. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara.