Hamahama ya wanasiasa Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 21.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Hamahama ya wanasiasa Tanzania

Kunashuhudiwa wimbi la wanasiasa hasa madiwani kutoka upinzani wakihamia CCM, hali ambayo imezusha maswali kuhusiana na mustakabali wa kisiasa wa taifa hilo. Unatakiwa pia uchunguzi wa gharama za chaguzi za marudio.

Sikiliza sauti 03:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya George Njogopa kutoka Dar

              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada