1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hadithi ya Manusura wa mateso ya Kinazi

Sylvia Mwehozi
21 Julai 2022

Philomena Franz ni manusura wa mateso ya Kinazi ambaye alipelekwa kambi ya Auschwitz. Licha ya kupitia mateso na udhalilishaji, anasema kwamba "hawezi kuchukia" waliotenda unyama huo. #KurunziUjerumani inamulika hadithi yake.

https://p.dw.com/p/4EUAV