GOMA:Ndege ya mizigo ya mizigo yaanguka Goma ,watatu wafa | Habari za Ulimwengu | DW | 18.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

GOMA:Ndege ya mizigo ya mizigo yaanguka Goma ,watatu wafa

Watu watatu wamekufa katika ajali ya ndege ya mizigo iliyotokea katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo.

Ndege hiyo ilianza kuwaka moto mara tu baada ya kuanza safari.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com