1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Filamu

Filamu ya Kitanzania yapata nafasi Berlinale

Sudi Mnette
16 Februari 2024

Filamu ya Kitanzania iitwayo "Kaburi Wazi" imepata nafasi ya kuoneshwa katika Tamasha la Kimataifa la Filamu la Berlin 2024 (Berlinale). Pamoja na mengine, sikiliza kipindi "Karibuni" kilichoandaliwa na Sudi Mnette wa DW.

https://p.dw.com/p/4cU39