1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Duka la vyakula vinavyokabiliwa na hatari ya kutupwa Berlin

Oumilkheir Hamidou4 Februari 2019

Sura ya Ujerumani hii leo inakufikisha Berlin ambako duka moja kubwa limefunguliwa na vyakula vinavyouzwa ni vile tu ambavyo vinakabiliwa na hatari ya kutupwa ndani ya debe la taka. Kukuleteeni Sura ya Ujerumani ni Oummilkheir.

https://p.dw.com/p/3CftJ