You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Netanyahu aungwa mkono kuunda serikali
Hatua hiyo inafungua mlango wa makubaliano ya kugawana madaraka na hasimu wake aliyegeuka kuwa mshirika, Benny Gantz.
Bunge la Israeli sasa kuchagua waziri mkuu.
Hatua hii haikutarajiwa kutokea katika muda wa kipindi cha mwaka mmoja nchini humo.
Italia: Bunge laamua kumwondolea kinga Matteo Salvini
Hatua hiyo inatoa nafasi ya kufunguliwa mashtaka Salvini, na kesi hiyo inaweza kuvuruga safari yake ya kisiasa.
Baraza la Seneti Marekani lamwondolea hatia Trump
Baraza la Seneti Marekani lapiga kura kumuondolea hatia Rais Donald Trump katika mashitaka ya kutumia vibaya madaraka.
Kauli ya rais Tshisekedi yazusha mvutano DRC
Tamko la rais Felix Tshisekedi alilolitoa wakati wa ziara yake mjini London kwamba atalivunja bunge, limezusha malumbano
Rais wa Burundi kuondoka na kitita cha mamilioni
Bunge la Burundi limeidhinisha sheria inatakayompa rais mstaafu kitita cha faranga bilioni za Burundi.
Kesi ya kumshtaki Trump yaanza Baraza la Seneti
Ni marais watatu tu wa Marekani kuwahi kufunguliwa mashtaka ya kuondolewa madarakani.
Baraza la Seneti kusikiliza shauri dhidi ya Trump
Vifungu vya mashtaka yanayomkabili rais Donald Trump vitasomwa leo mbele ya Baraza la Seneti mjini Washington
Pelosi kutuma ibara za mashtaka kwa Seneti
Spika Nancy Pelosi amesema atawasilisha mbele ya Baraza la Seneti ibara za mashtaka dhidi ya Rais Donald Trump.
Iraq yataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo
Rais Trump ametishia kuiwekea Iraq vikwazo ikiwa hatua hiyo itatekelezwa.
Bunge la Uturuki laidhinisha utumaji wanajeshi Libya
Kuna wasiwasi kwamba vikosi hivyo vya Uturuki vitazidisha mzozo na kudhoofisha taifa hilo.
Netanyahu aomba kinga dhidi ya kesi ya rushwa
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameliomba bunge la nchi hiyo kumpatia kinga.
Waandamanaji wauawa nchini India
Waziri mkuu wa India Nerandra Modi amekutana na mawaziri kwa lengo la kuutathmini mswada wa sheria juu ya uraia.
Trump aendeleza ubabe baada ya Wawakilishi kumshitaki
Spika Pelosi aashiria mashaka yaliyopo kwenye sehemu iliyosalia ya kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Seneti.
Trump apigiwa kura kwa matumizi mabaya ya madaraka
Wabunge waridhia mashitaka ya Trump
Pelosi atoa idhini kutayarishwa mashtaka dhidi ya Trump
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ametoa ruhusa ya kutayarishwa kwa ibara za mashtaka dhidi ya rais Donald Trump
Bunge la Iraq lakubali uamuzi wa kujiuzulu waziri mkuu Mehdi
Bunge la Iraq lakubali uamuzi wa kujiuzulu waziri mkuu Mehdi
Malumbano yazuka, bunge la Ujerumani
Atetea umuhimu wa kuendelezwa serikali kuu ya muungano hadi muhula wake utakapokwisha na uchaguzi mkuu kuitishwa 2021.
Bunge la Ulaya laidhinisha Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya
Bunge la Ulaya laidhinisha Halmashauri Kuu mpya inayoongozwa na Ursula von der Leyen
Bolivia yawasilisha bungeni mapendekezo ya uchaguzi mpya
Rais wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez jana amewasilisha bungeni muswada wa sheria utakaowezesha kufanyika uchaguzi mkuu.
Bunge la Marekani lafungua njia kwa Trump kuchunguzwa
Hatua ya Bunge la Marekani kuidhinisha uchunguzi wa kumuondoa Trump haikuzingatia haki na ni kinyume na katiba.
Johnson kushinikiza tena uchaguzi Uingereza
Serikali ya Uingereza kupendekeza tena uchaguzi wa mapema bungeni, licha ya kushindwa Jumatatu.
Rais Trump kutoa tamko muhimu
Rais Donald Trump wa Marekani leo (27.10.2019) anatarajiwa kutoa tamko muhimu
Wabunge Uingereza wapiga kura kuchelewesha mpango wa Brexit
Wabunge wa Uingereza wanapiga kura kuchelewesha uamuzi wa mpango wa Brexit wa Waziri Mkuu Boris Johnson.
Maoni: Mchakato wa Brexit Je safari hii Bunge litauridhia?
Katika maoni yake mwandishi wetu wa DW Barbara Wesel anasema mivutano kuhusu Brexit bado ipo nchini Uingereza.
Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya
Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya Jumamosi
Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha yoyote nchini Uturuki
Suluhisho la Brexit bado kizungumkuti
Brexit kizungumkuti. Malkia alifungua bunge.
Wanadiplomasia wa Umoja wa UIaya wanasema bado hakuna dalili ya makubaliano kamili ya Brexit kufikiwa wiki hii.
Uingereza huenda ikaomba muda zaidi wa mchakato wa Brexit
Johnson huenda akaomba kuongezwa muda wa mchakato wa Brexit iwapo makubaliano hayatafikiwa hadi Octoba 19.
Wabunge wausasambua mpango wa brexcit wa Boris Johnson
Waziri mkuu Boris Johnson ashikilia msimamo wake wa kutaka kuiondowa Uingereza Umoja wa Ulaya Oktoba 31 kivyovyote vile.
Kuaga kwa Spika na mgogoro wa bunge
John Bercow alikuwa mlezi wa bunge la Uingereza, ambalo halijawahi kushambuliwa kama ilivyotokea chini ya Boris Johnson.
Serikali ya Uingereza yaahirisha bunge lake kwa wiki tano.
Uingereza imeahirisha vikao vyake vya bunge na kuwapa wabunge likizo ya wiki tano huku mzozo wa Brexit ukiendelea.
Wabunge nchini Uingereza wamuangusha tena Boris Johnson
Vuta ni Kuvute kati ya waziri mkuu Johnson na wanaompinga yaendelea baada ya kushindwa kwake bungeni ataka umma umsaidie
Wabunge wa Uingereza waamua hakuna uchaguzi wa mapema
Pia wapitisha muswada wa kupinga Brexit iiyo na makubaliano
Wabunge Uingereza wajipanga kumdhibiti Waziri Mkuu Johnson
Kura hiyo inamaanisha pia kwamba uchaguzi wa mapema si jambo lisilowezekana tena.
Johnson apata pigo kura ya kuzuia Brexit ya bila makubaliano
Waziri mkuu Johnson huenda akaitisha uchaguzi wa mapema
Uingereza: Wabunge kupiga kura kuchelewesha tena Brexit
Bunge la Uingereza limeanza shughuli zake leo Jumanne baada ya mapumziko ya kipindi cha kiangazi.
London: Maalfu kuandamana kupinga kusimamishwa bunge
Hatua ya Waziri MKuu Boris Johnson ya kusimamisha Bunge yakabiliwa na chanagmoto za kisheria mahakamani.
Hali ya kisiasa yazidi kuwa ngumu Uingereza
Kesi ya kisheria ya kuzuwia uamuzi wa Johnson waahirishwa
Boris Johnson aamua bunge lisitishe vikao kwa muda
Baadhi ya viongozi wataka Boris adhibitiwe la sivyo demokrasia ya Uingereza itakuwa mashakani
Bunge la India kuidhinisha sheria mpya kuhusu Kashmir
Bunge la India kuidhinisha sheria mpya kuhusu Kashmir
Boris Johnson: Uingereza kuondoaka Umoja wa Ulaya Oktoba 31
Boris Johnson aliyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza bungeni kama Waziri Mkuu.
Merkel asherehekea miaka 65 ya kuzaliwa
Kansela Merkel atimiza miaka 65 ya kuzaliwa
Maoni: von der Leyen ndie rais mpya wa halmashauri ya Ulaya
Von der Leyen anakuwa rais mpya wa halmashauri ya Umoja wa Ulaya
Bunge la Ulaya lamthibitisha Von der Leyen
Bunge la Ulaya limepiga kura 383-327 huku wabunge 22 wakiwa hawapo kuidhinisha uteuzi wa von der Leyen.
Mkutano kuhusu nafasi za juu za Umoja wa Ulaya waahirishwa
Bado haijawezekana kufikia makubaliano katika mwelekeo ambao ni muhimu kwa nchi zote wanahama wa Umoja wa Ulaya.
Nyadhfa za juu katika Umoja wa Ulaya bado zajadiliwa
Mpaka sasa ni wagombea watatu ndio wana nafasi nzuri ya kupewa nyadhfa hizo za juu lakini mazungumzo bado yanaendelea.
Rais Trump asitisha kuishambulia Iran
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha hatua ya kuishambulia Iran muda mfupi baada ya kutoa idhini ya kufanya hivyo.
Nini kitarajiwe baada ya Israel kulivunja bunge?
null
Bunge la Israel lavunjwa na kuitishwa uchaguzi mpya
Uchaguzi mpya wa Israel kufanyika septemba
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 16
Ukurasa unaofuatia