1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bemba atangaza kuwania urais

25 Julai 2018

Kiongozi wa zamani wa waasi na makamu wa rais katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo Jean-Pierre Bemba amesema kwamba anaamini kuwa atakuwa mgombea bora kuuwakilisha upinzani katika uchaguzi wa rais wa mwezi Desemba.

https://p.dw.com/p/323hZ