1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Fatou Bensouda

Fatou Bensouda ni muendesha mashitaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Bensouda ambaye ni raia wa Gambia alichaguliwa kwa kauli moja katika nafasi hiyo Desemba 12, 2011.

Kabla ya kuteuliwa kama muendesha mahakama mkuu na mahakama ya ICC 2012, Fatou Bensouda alikuwa ni Makamu Muendesha Mashitaka wa mahakama hiyo kuanzia 2004 hadi 2012. Aliwahi pia kuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Haki nchini Gambia. Bensouda ana shahada ya uzamili wa Sheria ya Kimataifa ya Shughuli za Baharini.

Onesha makala zaidi