Bandari ya Hamburg ya tatu kwa ukubwa Ujerumani | Media Center | DW | 24.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Bandari ya Hamburg ya tatu kwa ukubwa Ujerumani

Bandari ya Hamburg yenye pirika nyingi, ni kubwa zaidi Ujerumani, ya tatu barani Ulaya na ya 15 duniani kote. Inatambulika kama 'Lango la kuingilia Ulimwenguni'. Pamoja na umuhimu wake katika sekta ya uchukuzi, eneo hili limekuwa kivutio kikubwa cha utalii.

Tazama vidio 01:59