You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Matangazo ya mchana: 19.04.2026
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema Rais wa Marekani Donald Trump, hana uhalali wowote wa kisheria au kimaadili wa kuipokonya Iran haki zake za nyuklia. Watu sita wameuwawa katika eneo la Holosiivskyi mjini Kyiv, baada ya mtu mwenye silaha kuwafyatulia risasi. Brazil, Uhispania na Mexico zaahidi kuimarisha msaada kwa Cuba.
Iran: Tunaufunga tena Mlango Bahari wa Hormuz
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran imetangaza leo Jumamosi kurejesha vizuizi vyote kwenye Mlango Bahari wa Hormuz.
Matangazo ya Jioni 17.04.2026
Viongozi wa Ufaransa na Uingereza wamekusanyika mjini Paris pamoja na viongozi wa Mataifa mengine ya Ulaya kusogeza mbele mipango ya kuufungua mlango bahari wa Hormuz+++Takriban wahamiaji 15 kutoka Marekani wamewasili katika mji mkuu wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mapema leo.
ODM yasitisha mazungumzo ya ushirikiano na Rais Ruto
Chama cha (ODM) Kenya kimesitisha mazungumzo ya muungano na chama kinachoongozwa na Rais William Ruto.
Matangazo ya Mchana 17.04.2026
Makubaliano ya kusitisha vita kwa siku 10 nchini Lebanon kati ya Israel na wanamgambo wa Hezbollah, yaliyoanza leo Ijumaa, yanaendelea+++Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Tundu Lissu ametaka kesi ya uhaini dhidi yake ifutwe.
Benki ya Dunia na IMF zarejesha uhusiano na Venezuela
Shirika la Fedha la Kimataifa pamoja na Benki ya Dunia yametangaza kurejesha uhusiano na Venezuela.
Lissu: Kesi ya uhaini ifutwe kabla ya maridhiano
Tundu Lissu, ametaka kesi ya uhaini dhidi yake ifutwe ili kuanzisha mchakato huru wa maridhiano.
Papa Leo XIV kuongoza Misa mjini Douala, Cameroon
Papa Leo ametumia ziara hiyo ya kihistoria kutoa hotuba kali wa wito wa amani duniani.
Vita vya Iran vyazidisha makali kwa wakulima wa Ukraine
Wakulima wa Ukraine wanatabiri mauzo ya nje yatapungua mwaka huu kutokana na kuongezeka kwa gharama za uzalishaji.
16.04.2026 Matangazo ya Jioni
Mvutano kati ya Marekani na Iran hasa kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz, unazidi kuongezeka+++Kiongozi wa chama cha Wapigania Uhuru wa Kiuchumi nchini Afrika Kusini (EFF), Julius Malema, ameruhusiwa kukata rufaa dhidi ya adhabu iliyotolewa mapema leo.
16.04.2026 Matangazo ya Mchana
Afisa mkuu wa jeshi la Pakistan yuko mjini Tehran kukutana na maafisa wa Iran+++Maiti ya waziri wa Burundi anayehusika na utangazaji habari na ufundi wa kisasa wa mawasiliano Gabby Bugaga imepatikana.
15.04.2026 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, kimetangaza kufungua tena ofisi zake kote nchini humo / Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ameondoka Algeria akielekea Cameroon
Trump: Mazungumzo mapya na Iran yanaandaliwa
Rais Donald Trump amesema awamu ya pili ya mazungumzo na Iran inaweza kufanyika hivi karibuni.
14.04.2026 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Umoja wa Mataifa unasema zaidi ya raia 700 wanaripotiwa kuuwawa kutokana na mashambulizi ya droni nchini Sudan/ Juhudi za kuusuluhisha mzozo kati ya Iran na Marekani zinaendelea
14.04.2026 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anatarajiwa kufanya ziara katika mji wa Annaba nchini Algeria/ Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz alimpokea rais wa Ukraine katika Ofisi yake iliyopo katikati ya jiji la Berlin
Trump atangaza kuanza vizuizi kwa bandari za Iran
Hali ni ya wasiwasi kanda ya Mashariki ya Kati hasa baada ya tangazo la Marekani la kuanza vizuizi kwa bandari za Iran.
13.04.2026 Matangazo ya Jioni
Marekani na Iran zaendelea kutunishiana misuli+++Hali ikoje sasa katika mzozo wa Iran?+++Mgogoro wa kibinadamu unazidi kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Papa Leo XIV atoa wito wa msamaha nchini Algeria+++Ripoti moja ya mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali imebaini mamilioni ya Wasudan wana hali ngumu ya chakula
Uingereza yakataa kujiunga na mzingiro wa Hormuz
Meli zinaripotiwa kukwama tena kwenye Mlango Bahari huo hivi leo, siku ambayo Marekani imesema itaanza mzingiro wake.
Viktor Orbán wa Hungary ashindwa uchaguzi
Waziri Mkuu wa muda mrefu Hungary anayefahamika kwa siasa kali za kizalendo Viktor Orbán ameshindwa uchaguzi.
12.04.2026 Matangazo ya Jioni
Viongozi wa dunia watoa wito wa amani kati ya Marekani na Iran // Ukraine na Urusi zalaumiana kwa kukiuka usitishaji mapigano // Na Trump aagiza mzingiro kwa mlango-Bahari wa Hormuz
12.04.2026 Matangazo ya Mchana
Mazungumzo ya Marekani na Iran yamalizika bila makubaliano // Hamas yapeleka ujumbe Misri kujadili mzozo wa Gaza // Benin yapiga kura kumchagua mrithi wa Rais Talon
Matangazo ya Jioni: 11.04.2026
Wajumbe wa Marekani na Iran waanza mazungumzo mjini Islamad nchini Pakistan. Waziri mkuu wa Jamhuri ya Czech amuunga mkono Waziri Mkuu Viktor Orban kabla ya uchaguzi wa bunge nchini Hungary. Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa kabla ya kusitishwa kwa mapigano wakati wa kusherehekea Pasaka
Matangazo ya Mchana: 11.04.2026
Ujumbe wa Marekani ukiongozwa na Makamu wa Rais JD Vance umewasili nchini Pakistan kwa mazungumzo na maafisa wa Iran. Urusi yashambulia mji wa Odess kabla ya kuanza hatua ya kusitisha vita kwa ajili ya kusherehekea Pasaka ya madhehebu ya Orthodox. Watu wawili wameuawa. Waziri wa zamani wa Uganda ahukumiwa miaka minne jela kwa kuhusika na ufisadi
10.04.2026 Matangazo ya Jioni
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ameionya Iran isicheze michezo na Marekani, wakati akielekea Pakistan+++Wadau wa haki za binadamu wamekutana kwa ajili ya kukusanya mapendekezo kuhusu hali ya haki za binadamu Tanzania.
10.04.2026 Matangazo ya Mchana
Rais wa Marekani Donald Trump ameibua wasiwasi kuhusu uthabiti wa makubaliano ya wiki mbili ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran+++Benki ya Dunia imeonya kuwa kiwango cha ukuaji wa uchumi barani Afrika kitashuka mwaka huu hasa kusini mwa Jangwa la Sahara
10.04.2026 Matangazo ya Asubuhi
Jeshi la Israel limekuwa likiendesha mashambulizi ya anga dhidi ya Lebanon+++Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Pope Leo wa 14, anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika Jumatatu ijayo.
09.04.2026 Matangazo ya Mchana
Israel imeendeleza mashambulio makali dhidi ya Lebanon, ikimuuwa mshauri wa karibu wa kiongozi wa kundi la Hezbollah Naim Kassim mjini Beirut+++Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, Chadema, Tundu Lissu leo amefikisha siku 365 tangu akamatwe na kuwekwa gerezani kwa makosa ya uhaini na uchochezi.
Makubaliano ya kusitisha vita Iran, Marekani mashakani
Tehran inasema kuufunguwa Mlango Bahari wa Hormuz kunategemea na Marekani na Israel kukomesha kikamilifu mashambulizi.
09.04.2026 Matangazo ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Lebanon si sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano+++Serikali mkoani Kigoma nchini Tanzania, imeamuru kuanza msako dhidi ya wahamiaji wasio na vibali.
08.04.2026 Matangazo ya Jioni
Katibu mkuu wa jumuiya ya kujihami ya NATO Mark Rutte anatarajiwa kukutana leo na Rais wa Marekani Donald Trump+++China imesema kuwa Afghanistan na Pakistan zimekubaliana kutoendeleza mzozo wao kufuatia wiki moja ya mazungumzo.
Iran yasema usitishaji mapigano waanza kuvunjwa
Hata siku moja haijamalizika tangu kutangazwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, Iran inasema yameanza kuvunjwa.
08.04.2026 Matangazo ya Mchana
China imepongeza leo usitishaji vita Mashariki ya Kati, na ikasisitiza jukumu lake katika kuhimiza makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran+++Wanaanga wanne wa chombo cha Artemis II wako njiani kurejea duniani baada ya safari ya mwezini.
Iran, Marekani, Israel zasitisha mapigano kwa muda
Hii ni hatua mpya kwenye vita vya siku 40 vilivyokuwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.
08.04.2026 Matangazo ya Asubuhi
Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance yuko ziarani Hungary kudhihirisha uungwaji mkono wa rais Trump kwa Waziri Mkuu Viktor Orbán+++Shirika la Kimataifa la Maziwa makuu ICGLR limejitokeza na mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa wanawake wanahusika moja kwa moja katika utungaji sera na sheria kuhusiana na amani.
08.04.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Trump atangaza kusitisha mapigano kwa wiki mbili nchini Iran++Urusi na China zazuwia azimio la UN kufungua Hormuz++Kwenye kandanda, Bayern Munich yaitandika Real Madrid nyumbani.
07.04.2026: Matangazo ya Jioni
Iran haijaonyesha dalili zozote za kukubali kauli ya mwisho ya Rais Donald Trump ya kuufungua Mlango-Bahari wa Hormuz+++Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema vikwazo kwa vikosi vya ulinzi vya Rwanda au vikosi hivyo kubezwa kwa aina yoyote ni mambao ambayo hayatoweza kufanikiwa.
07.04.2026: Matangazo ya Mchana
Iran imewahimiza vijana kuunda uzio wa binadamu kwa kuyazunguka maeneo yake ya nishati na Rais wa nchi hiyo+++Katika kuadhimisha siku ya Afya Duniani Shirika la Afya Duniani, WHO kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa linafanya mkutano wa kimataifa mjini Lyon, Ufaransa.
07.04.2026: Matangazo ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa vitisho vya kuishambulia miundombinu muhimu ya Iran+++Ulinzi wa misitu umepata msukumo mpya baada ya idara ya KFS kuzindua jukwaa la dijitali la kuzuwia ukataji wa miti.
07.04.2026: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Iran yakataa pendekezo la usitishwaji mapigano++Ukraine yapendekeza kwa Urusi mpango wa kusitisha mashambulizi kwenye vituo vya nishati++Mechi za Robo fainali , Ligi ya mabingwa Ulaya kuanza kutimua vumbi.
06.04.2026: Matangazo ya Jioni
Iran yajibu pendekezo la usitishwaji mapigano na kufunguliwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz. Antonio Costa amesema sio halali kulenga miundombinu ya kiraia wakati wa vita. Korea Kaskazini yasema Seoul imetumia busara kuiomba radhi baada ya droni ya Ujasusi kurushwa katika anga yake.
06.04.2026: Matangazo ya Mchana
Mashambulizi ya Israel na Marekani yasababisha mauaji ya watu 25 nchini Iran. Pendekezo la usitishwaji vita latolewa kwa Marekani na Iran. Rais wa Korea Kusini aiomba radhi Korea Kaskazini baada ya maafisa wake kurusha droni katika anga ya pyongyang.
Marekani yamtafuta rubani wa ndege iliyodunguliwa Iran
Jeshi la Marekani linaendelea kumtafuta rubani wake aliyepotea kusini magharibi mwa Iran.
Matangazo ya Jioni 03.04.2026
Iran yalionya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya kuchukuwa "hatua yoyote ya uchochezi". Watu wasiopungua 43 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na waasi wa ADF Ituri DRC. Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Azzurri ajiuzulu.
02.04.2026 Matangazo ya Jioni
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vinaendelea huku mashambulizi ya kila upande yakiripotiwa+++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakaazi wa Minembwe katika jimbo la Kivu Kusini wanapiga kelele kufuatia mapigano ya mara kwa mara kati ya jeshi la Kongo linaloungwa mkono na Wazalendo na Twirwaneho wanaoshirikiana na waasi wa AFC/M23.
02.04.2026 Matangazo ya Mchana
Rais wa Marekani Donald Trump amesema vikosi vya Marekani vitairudisha Iran katika zama za kale+++Jeshi la Burundi limesema watu 13 wamefariki na wengine 57 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliosababishwa na moto katika kambi ya kijeshi kusini mwa mji mkuu Bujumbura
02.04.2026 Matangazo ya Asubuhi
Jeshi la taifa la Somalia inaudhibiti mji mkuu wa jimbo la South West wa Baidoa+++Wasiwasi umeongezeka barani Ulaya kufuatia taarifa kwamba Urusi huenda ikaruhusu magari yaliyoibwa kusajiliwa kihalali na kutumika ndani ya mipaka yake.
02.04.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump amesema operesheni za kijeshi dhidi ya Iran zinakaribia kukamilika na vita vinaweza kumalizika karibuni+++Watu 19 wafariki dunia baada ya boti ya wahamiaji kuharibika katika Bahari ya Mediterania ikitokea Libya kuelekea Ulaya.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 1 Aprili 2026
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 1 Aprili 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za UIimwengu Asubuhi 1 Aprili 2026
Sikiliza Taarifa ya Habari za UIimwengu Asubuhi 1 Aprili 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Marekani kuutathmini upya uhusiano wake na NATO
Rubio amesema Marekani itatathimini upya mahusiano yake na NATO mara tu vita dhidi ya Iran vitakapomalizika.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 169
Ukurasa unaofuatia