Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vinaendelea huku mashambulizi ya kila upande yakiripotiwa+++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakaazi wa Minembwe katika jimbo la Kivu Kusini wanapiga kelele kufuatia mapigano ya mara kwa mara kati ya jeshi la Kongo linaloungwa mkono na Wazalendo na Twirwaneho wanaoshirikiana na waasi wa AFC/M23.