SiasaKimataifaMatangazo ya Jioni 03.04.2026To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaDIRA.BZ03.04.20263 Aprili 2026Iran yalionya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya kuchukuwa "hatua yoyote ya uchochezi". Watu wasiopungua 43 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na waasi wa ADF Ituri DRC. Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Azzurri ajiuzulu.https://p.dw.com/p/5BdbOMatangazo