Mataifa kadhaa ya Ghuba yamearifu kuwa yamezuia mashambulizi yaliyofanywa na Iran. Jumuiya ya Mataifa ya Kiarabu inatarajiwa kufanya mkutano wa dharura Jumapili ili kuyajadili mashambulizi ya Iran katika ukanda huo pamoja na eneo la Ghuba. Idadi ya waliokufa kwa mafuriko nchini Kenya yafikia watu 23.