Ujumbe wa Marekani ukiongozwa na Makamu wa Rais JD Vance umewasili nchini Pakistan kwa mazungumzo na maafisa wa Iran. Urusi yashambulia mji wa Odess kabla ya kuanza hatua ya kusitisha vita kwa ajili ya kusherehekea Pasaka ya madhehebu ya Orthodox. Watu wawili wameuawa. Waziri wa zamani wa Uganda ahukumiwa miaka minne jela kwa kuhusika na ufisadi